Mie mwenzako nyang'anyang'a Mie binzari we ndo nyanya Baby kwangwaru Isimamie kama kangaroo Ibane kangwaru Babu Juma mpige kwakwaru Kwakwaru kwakwa
Chambua kama karanga sasa Chambua kama karanga Ichambue kama karanga Salome Chambua kama karanga I say washa washa moto washa Songa songa ugali songa songa Mpaka chini mpaka chini
Wenye wivu wajinyonge leo Wanye wivu wajiinyonge Wenye wivu wajinyonge Salome Wenye wivu wajinyonge Wenye wivu wajinyonge kweli
Wanakodoa kodo wanakodoa (macho kodo) (Wale kodo) Ukinyonga (wanakodoa kodo wanakodoa) Ukisonga (wanakodoa kodo wanakodoa)