Lalala, OOh nanana mwambie mama Vampk mwambie mama Vampk mwambie mama dih mikasi top, na Vampk
AAh, mwambie mama nimeshafika mhh tena mi nimefika salama ooh mwambie mama nimeshafika eeh Tena mi nimefika salama
Hilo Jiji la Loitokitok ntalikosa Sana yeye anajua ilivyonichoma mama Nyumbani dhiki, ikanibidi niende mbali ntawakosa Mimi naenda kutafuta Mali acha niende mimi nanikija ujidai mama acha niende mimi nikirudi tufurahi mama yangu ma ujidaii mama weeh ufurahi mama yangu ma ujidai eh mama yangu we ufurahi
AAh, mwambie mama nimeshafika mhh tena mi nimefika salama ooh mwambie mama nimeshafika eeh Tena mi nimefika salama
mwambie dada, elimu msingi dunia inakaba kama mapenzi mama walipendaga wengi mwisho wakamwagwa basi na asome na bidii nampendaga basi dada asome na bidii nampendaga
nanivema siku ya Leo umewakumbuka ndugu zako na marafiki huku Nyumbani baba yako aliposikia alifyatuka dada yako na yeye haonekani Nyumbani mpenzi wako vaileti wafilisti wanamvizia wamempa spaghetti siku hizi anaturingia mama yako ameketi barazani akifikira heri angezaa Gazeti blanketi ama sufuria lakini kuja Nyumbani we tunakungoja (Ruudii) hata kama wamekung'oa jicho Moja (Ruudi) yeyeyeiyeeh