Unanigusa maini ukiinama Joto linapanda mbona nachomeka Iyeeh Ukizungusha mashini sifai mama Kopo linajaza donda watonesha Mi ndo shati we ndo tai (Huuh! Huuh!) Osha nikuchafulie Mi sukari we ndo chai (Huuh! Huuh!) Ntaonja unipakulie Na umeniweza unavyopendeza, yangu makengeza babe Na unavyocheza ukijilegeza ntakutendereza lady Si uko fine, unavyowine Unanitease na skills zako divine Ladha ya wine, njoo nikumine Unifilis na bills zako simind
Chii! Kwanza katoto kiuno, uno uno Kanakatika miuno, uno, (eeh) Nishike kwa juu mama humo humo humo Pepeta ukiwa huko, huko, huko Mhh Laiti kama ungelijua we ndo wangu dua Umenishika kwa chini yaani mpaka nazuzua Yaani popo eeh poporipo Nishike kwa chini hadi kokoriko Mtoto jojo ana doido Kashingo kembamba ni poporipo Kwanza fanya unainama (Sare sare) Maua sama Zungusha body mama kaitaba (Sare sare) Asa ma kiuno kata Unafanya mizuka inapanda (Sare sare) Chekecha ninakuapia Unapiga miuno kisamantha (Sare sare) Hadi mimi ninajifia