Duniani na mbinguni hakuna mungu mwingine jina yesu likitajwa nainama nainama
mwamba imara kwako niko salama nikupe nini mungu usiyeshindwa mwamba imara kwako niko salama nikupe nini mungu usiyeshindwa
jina lako yesu limeshinda yote nikipata yesu nimepata yoote mkate wa uzima (niwe) mfalme wa amani (niwe) mkate wa uzima (niwe) mfalme wa amani (niwe)
duniani na mbinguni hakuna mungu mwingine jina yesu likitajwa nainama nainama nainama nainama
wakati wa dhiki, wewe ndiwe faraja wakati wa kilio wewe ndiwe furaha unanijua baba siwezi jificha macho yako baba yako kila pahali
jina lako yesu limeshinda yote nikipata yesu nimepata yoote mkate wa uzima (niwe) , mfalme wa amani (niwe) mkate wa uzima (niwe) mfalme wa amani (niwe) niwe niwe niwe
duniani na mbinguni hakuna mungu mwingine jina yesu likitajwa nainama nainama nainama nainama